Vandullahvic
Member
- Mar 4, 2013
- 24
- 3
ndio mimi ninavyo nilichukua pale uwanja wa taifa wenzangu walikuwa wanavitupa mimi nikakusanya vyangu vipo kwenye video youtubeViti bado vipo?
Sh ngapi,nataka vile walivyokalia wale wana siasa wawili kwa kazi maalum huku sumbawangandio mimi ninavyo nilichukua pale uwanja wa taifa wenzangu walikuwa wanavitupa mimi nikakusanya vyangu vipo kwenye video youtube
mkuu vile amevichukua Donald TrumpSh ngapi,nataka vile walivyokalia wale wana siasa wawili kwa kazi maalum huku sumbawanga
vp unatoa risit za efd....maana unauzia mzigo storeViti vya saloon ya kiume vipo... Bei cheee.... Design nzuri na ya kisasa.... Na vina ubora wa hali ya juu.... Mzigo ndio umeingia... Wahi sasa.... Hatuuzi kwenye duka tunauzia godown moja kwa moja na bei poa.
Nitaweka baadhi ya picha muvione.
Mawasiliano 0715/0777-875037.
Hilo tangazo ni la 2013vp unatoa risit za efd....maana unauzia mzigo store
Hii biashara bado ipo!!!??Hilo tangazo ni la 2013
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app