Offer dell min laptop inauzwa

Offer dell min laptop inauzwa

window9

Senior Member
Joined
May 12, 2016
Posts
113
Reaction score
85
Dell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd 150gb. Haya karibuni pm napatikana dar.

Whatsap +255625538475
 
Kama kweli mpaka na "wife" basi bei ni ndogo mkuu.
Au wife amekukosea nini.
 
Dell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd 150gb. Haya karibuni pm napatikana dar.

Whatsap +255625538475
Kapicha muhimu ila naweka ofa yangu 150k
 
Dell inspiron inauzwa bei ya kutupwa laki mbili tu.maelewano yapo haina tatizo lolote lile
Ipo window 10pro activated
Webcam ,wifi. bluetooth
Proccesor inter( R) Atom CPU @1.60GHz
Ram 2gb
Hdd 150gb. Haya karibuni pm napatikana dar.

Whatsap +255625538475

Dell ni takataka usinunue, acha kabisa. Yana technical faults nyingi toka kiwandani. Acha kabisa
 
Dell ni takataka usinunue, acha kabisa. Yana technical faults nyingi toka kiwandani. Acha kabisa
Huu sii uungwana, hukuulizwa utoe ushauri kuhusu Dell, unachofanya ni kuvuruga biashara ya mwenzio.
Ungejikita kwenye hoja ingependeza.
 
Huu sii uungwana, hukuulizwa utoe ushauri kuhusu Dell, unachofanya ni kuvuruga biashara ya mwenzio.
Ungejikita kwenye hoja ingependeza.

Pole kama nimekosea. Laptop zinaweza kuwa nzuri. Hivyo wateja nunua tu. Desktop ni shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom