Ofaaa bab kubwaaa ya magari kutoka Japan

Hahaaa!mkuu naona maneno ya kujifariji hayo eti "time will tell" ur time is now,ngoja wenye nguvu za kiume(pesa) tumnunulie (am kiddin buana)
Comrade Mbalamwezi1
Hahahahahhh... my lady rubii is so special
She know how i lv her 101%.
Material is minor issue kwangu....JPM namkubali kwa kutuhakikishia sisi wazelendo tuendelee kufaidi mema ya Nchi...
Love u more Princess rubii
 

Naomba bei ya toyota SAI Hybrid 2010 haraka.
 
Nahitaji spacio, Niko serius bajeti yangu ni 9.4m ila iwe na specifications hizi:
engine 1200-1800
rangi: silver/kijivu/nyeusi
year of manufacture: 2002---2006

Narudia nipo serius!! ukijibu nitag kwa jina langu la bampami
 
By
Mkuu Rav 4 nyeusi old model ya mwaka 1999 mpka 2002 millage chini ya 65,000 bei gani mpka Tanzania kila kitu.
Kwasasa RAV4 tulizo nazo kwenye stocks zetu millage zipo juu ya 90000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…