muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
Camry nyeusi ni bei gani?
Rangi nyeupe!Land cruiser v8 ya 2002 -4 sunroof bei gani the cheapest lakini?
Rangi nyeupe!
Nahitaji kirikuu cha kubebea majani y ng'ombe bei gan naweza kupata.?
Weka picha mkuu.Milioni 47
Ni mafuta ya laki 3 tuNahitaji tractor aina yoyote.
Je, napata??
Ni shingapi mpaka naileta home???
ByOFA!OFA!OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! OFA! OFA!OFA!OFA!OFA!OFA!OFA!
Punguzo maalumu za bei za magari kutoka Japan paka Tanzania wahi sasa
Tafadhali wasiliana nasi kupata utaratibu wa kuagiza gari kwa bei nafuu na kwa muda mfupi Zaidi
MAHALI – QUALITY CENTRE- Nyerere Road, SHOP G4, GROUND 1 EAST EXIT
P.O. Box 40563, Dar Es Salaam, TANZANIA
☎℡: +255 712 006 562
☎Phone: +255 789 031 322
✆Whatsapp: +255 712 006 562
Skype Id: khalidguffuautocom
✉ khalid@autocj.co.jp
View attachment 517948 View attachment 517949 View attachment 517950 View attachment 517951
Nimeona Mrembo wangu rubiimapinduzi daima Hiyo nyeusi mmeiona lakiniii
Nimeona Mrembo wangu rubii
Black Camry iko bomba... tuwasiliane lvbird
Worry not sexy-lady rubiiJamanii bebee wasiliana na muuza magari tujue tunaipataje pataje
Yani hyo kirikuu ya 10 ndo bei ya ofa au??!!!!!
Sasa mkuuu nasikiaga hizi kirikuu zipo za Aina kazaaa naomba kujua tofauti ya bei kati ya Ile kirikuu ambayo bodi yake Iko chini na Ile ambayo Iko juuu.....Yani hyo kirikuu ya 10 ndo bei ya ofa au??!!!!!
Hahaaa!mkuu naona maneno ya kujifariji hayo eti "time will tell" ur time is now,ngoja wenye nguvu za kiume(pesa) tumnunulie (am kiddin buana)Worry not sexy-lady...
U deserve more
It’s a matter of time, time will tell...