Mtu anakuuliza zinauzwaje unamwambia zinapatikana karibu.
Tayari anajua kuwa zinapatikana ndio mana akasema anahitaji, laa sivyo angeuliza je zinapatikana ndio ulitakiwa kujibu hivyo ulivyojibu lakini mtu kakuuliza mnauzaje halafu jibu unalompa ni tofauti na alichouliza.
Watanzania amkeni kibiashara aisee, bado ukija hapa utamwambia njoo PM au Whatsapp umpe bei, changamkeni aisee. Daaah...!