Ofa ya leo Alhamisi toka hapa Autoguru Workshop

Mecky Hamphrey

Senior Member
Joined
May 2, 2013
Posts
101
Reaction score
18
Kitanda size 5*6 kwa 230000 tu

Ofa hii ni kwa leo tu 28.09.2017

0688767668 au 0715967107
 
Ndilo tatizo, nimegoogle nimeweka hapo na lik alipodesa
Unataka ofa? Kama ni 'GREAT THINKER' unayedhani kuwa products zetu Autoguru haziwezi kuwa google endelea kufikiri hivyo

Google www.autogurugarage.co.tz kuona kazi zetu nyingine

Usidhani google ni yao tu, ni yetu sote

Open googlemybusiness kama na wewe unataka biashara yako ionekane google... Poor mind
 
Do you have those products in Dar es salaam or elsewhere in Tanzania?
angalia post#5, weka kitu unachouza kwenye show room yako, do not show what is not in your stock! Ndiyo maana yetu hatuna nia mbaya na bishara yako, hapana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu naona povu linakutoka tuu hujamuelewa jamaa piga picha kitanda halisi na sio picha za google iyo kutoka website yenu kwamba mmetengeneza hivyo vitu????
 
Ila anyways me nahitaji nne kwa sita kama naweza kupata na bei pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…