Kwa muda wa mwezi wote wa kumi (OCTOBER), Ofisi yetu Tunatoa punuzo au OFA ya gharama za jumla za kutayarisha au kuandaa WRITE-UPS za aina mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya mteja. OFA yetu ni 40% pungufu ya gharama halisi ya kuandaliwa Write-up husika!!
Baadhi ya writeups ambazo tumeshafanya sana na ambazo kwakweli ndio ziko katika OFA hii ni:-
Business proposal/plans - kwa ajili ya kutafutia mkopo/mtaji -kwa biashara mpya. Pia kwa ajili ya kuendeleza au kupanua biashara zilizopo, au kuvutia uwekezaji au business partners.
Project proposals - kwa ajili ya kutafutia funding au kuvutia uwekezaji
Company registration documents
NGOs registration documents
Research Proposals kwa ajili ya Consultancy
Research proposal editing (document reviewing before submission) for both consultancy and academics
Land use proposals kwa ajili ya kuvutia uwekezaji wenye tija kwa wadau
NA proposal au writeup yoyote.
Hizo ni baadhi ya kazi zetu, lakini tunazo nyingi sana hasa katika nyanja ya Project Consultancy services.