KIGAMBONI KIWANJA SQM 400Nina pesa hiyo tajwa nahitaji kiwanja Dar es Salaam. Aliyenacho aseme eneo na ukubwa kisha nitaamua
Sehem gani?KIGAMBONI KIWANJA SQM 400
Kigamboni changani beach sqm 950 kina hati kabisaNina pesa hiyo tajwa nahitaji kiwanja Dar es Salaam. Aliyenacho aseme eneo na ukubwa kisha nitaamua
Huku ni mbali mno. Asante kwa ofa yakoKigamboni kimbiji kijaka square meters 1104 kimepimwa na hati juu 6M.
Naifanyia kazi hiiMimi nnacho kipo Kibamba- luguruni jirani na kanisa la Lutheri usharika wa Luguruni. Ukubwa 45*30 kimepimwa na kina hati.
Mbezi beach ipo 29 kwa 20Nina pesa hiyo tajwa nahitaji kiwanja Dar es Salaam. Aliyenacho aseme eneo na ukubwa kisha nitaamua
20 kwa 20...loh.KIGAMBONI KIWANJA SQM 400
Zinga km 8??Njoo Zinga bagamoyo Km 8 kutokea tegeta kwa ndevu dakika 30 kutoka zinga hadi kwa ndevu kwa daladala pia dakika 20 kwa gari binafsi. Kiwanja square meters 1200 kwa Tsh 7M tuuu kipo barabarani (ya mtaa) na kipo umbali wa dk kumi kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara kuu.
Hii unamaanisha mita au futi? toa ngoma ipi? na je kina hati?Toangoma njoo 20 kwa 50
kimepimwa?Mbezi beach ipo 29 kwa 20
changani beach ipo wapi?Kigamboni changani beach sqm 950 kina hati kabisa
hii iko kigamboni kabla ya dege kama sikoseichangani beach ipo wapi?