OFA Viwanja Arusha kwa morombo

OFA Viwanja Arusha kwa morombo

Hivyo viwanja mbona vidogo sana? 10*10 ndo square meter ngap maana sijui hata utajenga nini.
 
Hivyo viwanja mbona vidogo sana? 10*10 ndo square meter ngap maana sijui hata utajenga nini.
utajenga nyumba vyumba 6 self parking gari dogo na mabanda ya uani
usiogope mkuu ukitaka hata 100 kwa 100 inapatikana bwashee
 
Hata mimi nina Kiwanja huko. Watu hawajastukia kabisa. Huko bado vipo na mji ndo umehamia hapo Terrat/Muriet. Mie nina 22x70 kwa 15m.. ipo karibu na Barabara kubwa inayoshukia pale Intel.. karibu na Tajiri Mkubwa Mathias Manga...

Hiyo Bei Jitu amewapa haina udalali kabisa hiyo.. sa hivi square meter ni 10,000tsh kule. Na hapo inategemea ukaribu na barabara na majengo.
 
Back
Top Bottom