Ofa: Tunauza nguo za Mitumba Grade A

Ofa: Tunauza nguo za Mitumba Grade A

daddys dota

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
66
Reaction score
4
Tunauza nguo za mtumba grade A. Jipatie nguo za kike magauni, sket ndefu na fupi,blouse kwa bei ya punguzo la nusu bei utanunua mpaka kwa sh. 5000 nguo. Duka lipo Mwenge-Mpakani.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0659965555 au 0766866683
 
Ndugu wadau habari zenu.mzigo mpya wa magauni ya mtumba grade 1 umeingia tayar upo dukani(magauni ya sherehe pamoja na ya kiofisi na mengneyo mengi).bei ni poa kabisa.magaun marefu.bei znaanzia 16000 mpaka 20000.duka linapatkana Dar es alaam-mwenge.ukpanda gar ya mwenge unashukia mpakani kituoni.kwa maelezo zaid0766866683 au 0659965555
 
Mkuu, mitumba grade one unaipata wapi? naomba uni guide..
 
Habari zenu ndugu wadau,mzigo mpya wa magauni umeingia,kuna magauni ya sherehe,kutokea.kiofisi n.k.bei zetu ni nafuu kabisa.magauni ya sherehe ni 20000 ya utokea marefu (ya ofisini)16000 mafupi (ya ofisini)10000.Duka letu lipo mpakani-Mwenge,ukishuka tu mpakani kituoni.kwa maelezo zaid 0659965555 au 0766866683
 
mkuu ungetuwekea picha hapa tukaona ili tukiridhika tunakuja hapo dukani weka tangazo vizuri mkuu limepelea hili
Tunauza nguo za mtumba grade A. Jipatie nguo za kike magauni, sket ndefu na fupi,blouse kwa bei ya punguzo la nusu bei utanunua mpaka kwa sh. 5000 nguo. Duka lipo Mwenge-Mpakani.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0659965555 au 0766866683
 
Habari wadau!

Mzigo mpya wa magauni umeingia, wahi mapema, kuna magauni ya kiofisi, mafupi kwa marefu, blouse za shiphone, sketi ndefu kwa fupi pamoja na nguo za sherehe; bei n sawa na buree.

Duka lipo Mpakani-Mwenge karibu na ofisi ya serikali za mtaa hapa mpakani. Pia tunauza kwa bei ya jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi piga 0659965555 au 0766866683
 
Jipatie magauni ya mtumba kwa bei ya jumla na rejareja.unachagua nguo yoyote unayoitaka.bei zetu ni rahisi na poa kabisa.duka lipo mwenge-mpakani.wote mnakaribishwaa
 

Attachments

  • 1439529943925.jpg
    1439529943925.jpg
    34.2 KB · Views: 399
Mimi ni kijana mjasiriamali ninauza nguo za mtumba grade 1 kwa bei ya jumla pamoja na rejareja.bei zetu ni nzuri.pia tunawasafirishia wateja waliopo mkoani.duka lipo mwenge-mpakani.0659965555
 

Attachments

  • 1439530811951.jpg
    1439530811951.jpg
    21.3 KB · Views: 449
Jumla na rejareja kwa kuchagua nguo unayoipenda
 

Attachments

  • 1439531056565.jpg
    1439531056565.jpg
    26.5 KB · Views: 522
Back
Top Bottom