Ofa ofa ofa: Responsive web design

Ganador

New Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Anza mwaka 2017 ukiwa na website ambayo inamuonekano mzuri katika vifaa vyote kama PC, laptop, ipad, iphone, tablets etc(responsive website).

Natengeneza website kwa bei nafuu hii ni maalum kwa kukusanya fedha kwa ajili ya kazi ya Mungu. Unahitaji website mpya au una website unataka kuiboresha naomba tuwasiliane.

Nahitaji mtu ambaye seriously anahitaji, pia naweza nikafanya network installation and configuration kwa small and medium offices.Unahitaji IT consultation tuwasiliane.
Karibuni
Regards
Ganador
 

No ya sim mkuu, uko Dar ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…