Ofa: Mashine za Juisi, Chockstick, Ice Cream, Bakery

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,875
Reaction score
2,201
Mzigo mkubwa wa machine umewasili tunakuletea offa kubwa Katika machine zetu call 0659567058 sms/call tupo kariakoo

Machine Za juisi ya miwa utazipata kwa million moja na laki Mbili tu zina sifa ya kukamua na kuchuja zenyewe na umeme kidogo tu

Machine za Ice cream million Mbili na laki tano tu zikiwa na uwezo wa kutengeneza zaidi ya lita 10 kwa dakika 15 tu

Mashine za popcorn utazipata Kwa Laki tatu na 20 tu za umeme na gesi laki tano na 70 tu

Mashine za chockstick million Mbili na laki tisa tu Tray moja ikitoa piece 40 kwa dakika 20 tu na yenye tray mbili million tatu na laki tisa tu inazalisha pieces 80 kwa dakika 20 tu

Mashine ya kukata nyama kwenye bucha million moja na laki mbili na Sabini tu
 
Mimi nina million 1.5 naweza kupata za ice cream ?
 
Mimi nina million 1.5 naweza kupata za ice cream ?
Hapana mkuu ila tunapokea malipo ya awamu unapewa risiti zote unapomalizia unachukua machine yako nakushauri njoo ofisini ulipie 0762612213 maelezo zaidi namna ya kufika ofisini
 
Mna mashine za kilimo?
Ile ya ku pump maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…