Kama wewe ni Msanii na Umesharekodi nyimbo (Audio) na ungependa kutengenezewa Video ya Nyimbo yako tunaomba ututumie Nyimbo yako kwa E.Mail
sales@godfreyelectronics.com au unaweza Kutuma Kwa Whatsapp kwenye nambari
0689777757.
- Iwe imerekodiwa kwa Ubora Mzuri (Standard Quality)
- Msanii atagharamia gharama za usafiri na Maeneo (Location)
- Tutachagua nyimbo ambayo tutaona inatufaa
- Nyimbo zenye kutoa Elimu kwa Jamii zitapewa kipaumbele
- Ofa hii ni Kwa wakazi wa Dar, kama upo Nje ya Mkoa wa Dar uwe Tayari kuingia Gharama za kuja Dar ama kuwasafirisha watu wawili mpaka kufika eneo unalotaka kufanyia Shooting ya Video yako.