Wadau kiwanja kinauzwa kwa bei ya chini sana maeneo ya mbezi mwisho njia ya kuelekea goba, kuna matatizo ambayo yanahitaji pesa ha haraka. ni mita 20×20, milion nane tu inatakiwa. Kwa mwenye kuhitaji ongea na hii namba 0713 80 67 66. Maongez yapo.
Wadau kiwanja kinauzwa kwa bei ya chini sana maeneo ya mbezi mwisho njia ya kuelekea goba, kuna matatizo ambayo yanahitaji pesa ha haraka. ni mita 20×20, milion nane tu inatakiwa. Kwa mwenye kuhitaji ongea na hii namba 0713 80 67 66.
Mkuu toa maelezo zaidi kuhusu hicho kiwanja ili mtu ashawishike kukupigia simu.
- kipo sehemu gani hapo mbezi mwisho
- Kimepimwa?
- pana maji
- Pana umeme?
- Umbali gani kutoka barabara ya lami
Pia kumbuka hiyo bei siyo bei nafuu hata kidogo. Sq 400 kwa milioni nane ni sawa na 20,000 kwa sq moja which is very expensive kwa maeneo hayo.. so ni lazima utoe maelezo ya kumshawishi mtu ali anunu. All the best..