Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,655 Reaction score 6,423 Jul 14, 2015 #1 Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni.
Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni.
laticka JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 344 Reaction score 130 Jul 14, 2015 #2 Du! Hivi kuna iphone ya laini mbili mkubwa!!?
Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,655 Reaction score 6,423 Jul 14, 2015 Thread starter #3 Wahi ofa hii mapema ya simu hii original kabisa iphone 4s. Mawasiliano.0713852625
Eng Saimon JF-Expert Member Joined Dec 18, 2012 Posts 351 Reaction score 312 Jul 14, 2015 #4 Weka picha na feutures..
MeNaco.com Member Joined Sep 1, 2011 Posts 94 Reaction score 4 Jul 14, 2015 #5 weka picha tuione mkuu
Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,655 Reaction score 6,423 Jul 15, 2015 Thread starter #6 Eng Saimon said: Weka picha na feutures.. Click to expand... k usijali mkuu nilishndwa kuweka sababu ya ugen kutumia jf
Eng Saimon said: Weka picha na feutures.. Click to expand... k usijali mkuu nilishndwa kuweka sababu ya ugen kutumia jf
Baba jayaron JF-Expert Member Joined Jun 29, 2015 Posts 4,655 Reaction score 6,423 Jul 15, 2015 Thread starter #7 laticka said: Du! Hivi kuna iphone ya laini mbili mkubwa!!? Click to expand... tembea uone michina fek ilivo sambaa mkuu
laticka said: Du! Hivi kuna iphone ya laini mbili mkubwa!!? Click to expand... tembea uone michina fek ilivo sambaa mkuu
malimingiii JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 968 Reaction score 1,343 Jul 15, 2015 #8 Duh! Mkuu mbona unanipa waswas kwa originality ya hiyo simu? Kama una uhakika ni original sema tufanye biashara
Duh! Mkuu mbona unanipa waswas kwa originality ya hiyo simu? Kama una uhakika ni original sema tufanye biashara
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,200 Jul 15, 2015 #9 Baba jay'rose said: Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni. Click to expand... We ni pimbi sana ...iphone toka lini ina double line?
Baba jay'rose said: Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni. Click to expand... We ni pimbi sana ...iphone toka lini ina double line?
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 Jul 15, 2015 #10 Baba jay'rose said: Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni. Click to expand... IPhone 4s single line.... Kwan kuna iPhone za double line? Hebu nitoe ushamba aisee
Baba jay'rose said: Ndugu wanajamvi habari zenu? Napenda kuwatangazia ofa hii ya simu aina ya iphone 4s ya lain moja ambayo ni original. Kwa atakayehitaji, wasiliana nami kwa namba 0713852625.. Asanteni. Click to expand... IPhone 4s single line.... Kwan kuna iPhone za double line? Hebu nitoe ushamba aisee