Ofa collection ya Series + Movies + Softwares

Ofa collection ya Series + Movies + Softwares

Nipo Muleba, nataka hivyo vi external viwili, na kwa ka external ka kwanza you will only have to put movies na ka kapili series. Mind you I don't do Korean or Asian shit.
Hivyo viexternal utavituma kwa panga boi LA msukuma.
Do you take Western Union payment or Check.
Situmii malipo kwa visimu Mimi.
Mpoki nini!
 
Zimebaki mbili kwa anayehitaji
Call/txt/WhatsApp 0765961152
 
Mimi sihitaji external nahitaji huo mzigo uliopo ndani hasa movies . Tunafanyaje...
 
Nipo Muleba, nataka hivyo vi external viwili, na kwa ka external ka kwanza you will only have to put movies na ka kapili series. Mind you I don't do Korean or Asian shit.
Hivyo viexternal utavituma kwa panga boi LA msukuma.
Do you take Western Union payment or Check.
Situmii malipo kwa visimu Mimi.
wahaya katika ubora wao
 
Ni mkusanyiko wa movies na series kali ikiwemo za Kikorea, za Kimarekani, Asia, Nigeria, Bongo nk
Ni mkusanyiko wa zaidi ya movies 500+

Naitoa hii ofa kwa wateja wangu wote wapya. Utauziwa external ya 1TB kwa bei ile ile ya tsh. 170,000/= tuu + Collection ya software ya aina yyt utakayohitaji, kmvle Microsoft Office, Win10, Adobe Master collection 2018 etc

View attachment 618321

Ushindwe wewe tuu!

Tunapatikana Keko Juu - DSM
Call/txt/WhatsApp: 0765961152
mi ninahitaji hizo content zako tu maana device ninayo tayari, vp naweza kupata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom