Odo umeniangusha sana!!

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,752
Hi, wana MMU, nawaomba kwa pamoja tumsaidie ma mdogo wangu arudi kwa mumewe maana mumuwe bado anamuhitaji pamoja kumucha takriban mieizi nane sasa kwa sababu ya chama, wanna watoto wa NNE na wajukuu wawili.

Ktk ukoo namwita mama mdogo, tuna elewana sana, lkn tangu uchaguzi wa serikal za mitaa hadi uchauzi mkuu ulipoisha me na yy tulianza kupishana kwa sababu sikukubaliana na njia alizo?mua kufuata, ameondoka nyumban amemwacha mume na watoto kwa sababu zisizo na mashiko, tulimshauri afanye biashara akakataa akasemma atakka kuwa mwanasiasa, alipo nga'ng'ana tulimwacha,

Alipoanza kwenda kwenye vikao na mikutano ya chama, akawa harudi nyumban, alipoulizwa ak?kasirika na kuondoka nyumban kwake, na mbaya zaid hajapata cheo chochote si ubunge wala udiwan wa viti maluum. Sitaki kusema sana Najua atapita hapa naomba rudi nyumban hicho chama chako kikongwe hakikakusaidia kina wenyewe.

Baba mdogo Anakupenda mno ukoo mzima twajua na ww ni shahidi maana Mara nyingi umekuwa ukishuhudia hilo, bamdogo Mara zote ni MTU wa kukusikiliza tatizo lako nn au umekosa nn? odo rudi nyumban baba mdogo anasema amekusamehe na hana kinyongo na ww.
 
Mwanaharakati huyo mwache apiganie nchi yake akichoka atarudi na mumpokee kwa mikono miwili
 
Hauko kwenye payroll ya baba md...never mind. Odo rudi nyumbani bana.
 
Atarejea tu..dumuni katika maombi kusiwe na kingine kinachomfanya asirudi zaidi ya hizo siasa.
 
Hajapata ubunge wala udiwani wa viti maalum. Unashangaa kwa nini ameamua kutorudi nyumbani.

Inasikitisha sana hasa ukizingatia familia ingali inamuhitaji. Pengine kaamua kuwa "mchekeshaji wa wafalme".

Yote kwa yote Odo rudi nyumbani.
 
Mwanaharakati huyo mwache apiganie nchi yake akichoka atarudi na mumpokee kwa mikono miwili

Kwan wanaharakati huwaga wanaacha familia zao bila taarifa na kutokomea kusikojulikana, bila shaka atapokelewa mumewe kishamsamehe popole alipo anaombwa kurudi
 
Hajapata ubunge wala udiwani wa viti maalum. Unashangaa kwa nini ameamua kutorudi nyumbani.

Inasikitisha sana hasa ukizingatia familia ingali inamuhitaji. Pengine kaamua kuwa "mchekeshaji wa wafalme".

Yote kwa yote Odo rudi nyumbani.


Mkuu umeona mbali tunamlaan huyo mfalme kwa nguuvu zote atuachie odo wetu, ameharibu furaha ya familia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…