kilght JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 635 Reaction score 182 Jan 16, 2014 #1 usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Jan 16, 2014 #2 Ungetulia, halafu ukaandika taarifa kwa undani, makini na source utaeleweka!
I iphone 18 promax JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 2,918 Reaction score 2,153 Jan 16, 2014 #3 kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... endelea kunywa viloba na uongeze tena na tena tutaona mengi
kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... endelea kunywa viloba na uongeze tena na tena tutaona mengi
M MZAWATA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 556 Reaction score 96 Jan 16, 2014 #4 Leta taarifa kamili na sio vipande vya habar hapa
kilght JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 635 Reaction score 182 Jan 16, 2014 Thread starter #5 mnataka nisemeje
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,753 Jan 16, 2014 #6 Aisee sasa kamanda wa polisi ana zana zote na ulinzi juu anaibiwa je bibi yangu wa kibaigwa au nyamisati huko inakuwaje?
Aisee sasa kamanda wa polisi ana zana zote na ulinzi juu anaibiwa je bibi yangu wa kibaigwa au nyamisati huko inakuwaje?
masanjasb JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 2,364 Reaction score 869 Jan 16, 2014 #7 Pole zake.. .ccm wapo watarejesha vyote vilivyoibiwa awe na amani tu
A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Jan 16, 2014 #8 kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... ama kweli huyo kamanda. ukistaajabu ya musa utayaona ya ..........
kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... ama kweli huyo kamanda. ukistaajabu ya musa utayaona ya ..........
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,167 Jan 16, 2014 #9 Kama upanga wa dhahabu uliibwa na tukatengeneza mwingine, tena uliibwa kwa mkuu wake wa kazi, yeye ni bastola tu?? Mwambie aende armory akachukue nyingie tu. Pole zake. Kutokuwajibika hakutakaa kuishe mpaka ccm iondoke
Kama upanga wa dhahabu uliibwa na tukatengeneza mwingine, tena uliibwa kwa mkuu wake wa kazi, yeye ni bastola tu?? Mwambie aende armory akachukue nyingie tu. Pole zake. Kutokuwajibika hakutakaa kuishe mpaka ccm iondoke
zambez JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 2,071 Reaction score 255 Jan 16, 2014 #10 kilght said: mnataka nisemeje Click to expand... sema kaiba yeye .......wao hawajaiba wamechukua vifaa vya kazi na pesa kidogo za kujikimu....
kilght said: mnataka nisemeje Click to expand... sema kaiba yeye .......wao hawajaiba wamechukua vifaa vya kazi na pesa kidogo za kujikimu....
M mchogora Member Joined Jan 15, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Jan 16, 2014 #11 Umenikumbusha mbali kaka! Hahaha akachukue nyingine daaaa!
T Theodore Bagwell JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 940 Reaction score 226 Jan 16, 2014 #12 kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... Aksante kwa taarifa
kilght said: usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola Click to expand... Aksante kwa taarifa
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Jan 16, 2014 #13 Any updates?
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Jan 16, 2014 #14 hawakuvunja duka kweli.maana inaelekea alikua bwiii kwa pombe za bure. si ndio zao
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Jan 16, 2014 #15 Hbr toka Rungwe, hbr hzi si za kweli, ocd ameoneshwa post hii amesjangaa sana.
kilght JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 635 Reaction score 182 Jan 16, 2014 Thread starter #16 ntamaholo kumbe kashangaa nilifikili lbd kakanusha
nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,927 Reaction score 1,342 Jan 16, 2014 #17 Hahaaahaaah si mbaya , wamemuibia mtu sahihi
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,950 Reaction score 6,981 Jan 16, 2014 #18 kilght said: ntamaholo kumbe kashangaa nilifikili lbd kakanusha Click to expand... Haya endelea kuwadanganya watu. Lkn amekana kwa mjibu wa soja wa kule
kilght said: ntamaholo kumbe kashangaa nilifikili lbd kakanusha Click to expand... Haya endelea kuwadanganya watu. Lkn amekana kwa mjibu wa soja wa kule
B bategereza JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 3,314 Reaction score 1,072 Jan 16, 2014 #19 ntamaholo said: Hbr toka Rungwe, hbr hzi si za kweli, ocd ameoneshwa post hii amesjangaa sana. Click to expand... unafikiri atakubali. kama walivunja duka je.
ntamaholo said: Hbr toka Rungwe, hbr hzi si za kweli, ocd ameoneshwa post hii amesjangaa sana. Click to expand... unafikiri atakubali. kama walivunja duka je.
A A.K.A.47 Member Joined Jan 27, 2013 Posts 56 Reaction score 6 Jan 16, 2014 #20 High Vampire said: endelea kunywa viloba na uongeze tena na tena tutaona mengi Click to expand... eti 'high vampire' teh teh bado kujiita tu 'high satan'
High Vampire said: endelea kunywa viloba na uongeze tena na tena tutaona mengi Click to expand... eti 'high vampire' teh teh bado kujiita tu 'high satan'