Obama’s brother banned from taking son to US

XIII

Member
Aug 29, 2012
53
8
A Nairobi court has stopped US President Barack Obama's half-brother from taking his three-year-old son to America and ordered him to produce the child in court.

Mr George Obama, 30, was sued by his girlfriend who claims that he forcefully took away the boy on September 6 from her Huruma Estate home in Nairobi where they were celebrating the child's birthday.....Read MORE »
 
huyu mdogo wangu nilimwambia siku nyingi aniletee huyu dogo tuishi wote white house! ona sasa yakiomkuta
 
Waswahili bwana, kukiwa na connections kigodo tu na wakubwa basi watalikuuuuuza. Obama is American and he thinks nothing about Nairobi. FULL STOP. Tena, naamini mnamboa sana na kuendeleza habari zenu za links zake na Nairobi.
 
lugha gani hiyo hapo kwny red
 
Unaweza kumsikia Romney akiitumia habari hii kumchafua Obama.
 
Waswahili bwana, kukiwa na connections kigodo tu na wakubwa basi watalikuuuuuza. Obama is American and he thinks nothing about Nairobi. FULL STOP. Tena, naamini mnamboa sana na kuendeleza habari zenu za links zake na Nairobi.

Uko shallow!
George Obama ni mdogo wake Barack Obama.
Get to know it.
 
Waswahili bwana, kukiwa na connections kigodo tu na wakubwa basi watalikuuuuuza. Obama is American and he thinks nothing about Nairobi. FULL STOP. Tena, naamini mnamboa sana na kuendeleza habari zenu za links zake na Nairobi.

lugha gani hiyo hapo kwny red

Hahahaha! Nimekupata rais wa migomo. Umenipata kweli na nilitaka kusema kidogo. Ndio tabia zetu waswahili bwana. Kukiwa na connections basi dunia nzima itajuwa.

Kweli Bwaga ya Moyoni ni mgumu kuelewa !
 
Back
Top Bottom