Katika Karne hii ya 21 hakuna Rais ambaye atapata kuzikwa na Marais wengi kama huyu Mandela. Ngojeni mtajionea!!
Katika Karne hii ya 21 hakuna Rais ambaye atapata kuzikwa na Marais wengi kama huyu Mandela. Ngojeni mtajionea!!
Security sasa.wawaache wa south Africa wamuage kwa majonzi yote.USA walimwita terrorist na alikuwa Kwenye terrorist list Mpaka 2008 .unafiki tu
Katika Karne hii ya 21 hakuna Rais ambaye atapata kuzikwa na Marais wengi kama huyu Mandela. Ngojeni mtajionea!!
Mugabe naye ameconfirm kuwa ataattend mazishi hayo ya kihistoria katika karne hizi 2 ya 20 na ya 21,na inatabiriwa kuwa yatavunja record hata ya mazishi ya Papa John Paul wa pili,na yale ya Winston Churchill wa Uingereza,anbayo ndiyo yanayosemekana kuwa yalihudhuriwa na watu wengi zaidi katika karne hizi za 20 na ya 21.http://www.theeastafricatimes.com/2013/12/obama-to-attend-mandela-services.html
Mugabe vip jamani
Ulichoandika mbona hakisomeki?!Hahaha uuni ubepar aiweze kan waachekaz zao zote waendi waka wasumbue wananchi wenye majonzi. Au ndo tayar njia ya kuchukua kilakitu south
Hahaha uuni ubepar aiweze kan waachekaz zao zote waendi waka wasumbue wananchi wenye majonzi. Au ndo tayar njia ya kuchukua kilakitu south
Ni bora Obama asihudhurie tu mazishi hayo,kwa kuwa kwa experience tuliyopata watz,kwenye ujio wake mwaka huu,ambapo vyombo vyetu vya ulinzi na usalana,ni kana vililazimishwa kwenda likizo bila malipo sasa kuna haja gani wakati mnamzika mpendwa wenu,hata mawaziri wenu wa nchi yenu,wapekuliwe na askari wa FBI kutoka Marekani?!!!Kweli. Kama Marekani wataendekeza protokali za ulinzi wa rais wao basi Wasouth watakosa uhuru kumwaga kipenzi chao.
R.I.P. Madiba
Kwani vipi mkuu,au atakuwa ameandika kilugha cha kikwao cha kimang"ati nini huyu jamaa?!samahani mkuu sijakuelewa.. andika kwa kiswahili.. lugha yenu siijui!
President Barack Obama will travel to South Africa next week to participate in memorial events for Nelson Mandela,
the former South African president who died on Thursday.
"President Obama and the first lady will go to South Africa next week to pay their respects to the memory of Nelson Mandela and to participate in memorial events.
sabc
jk wa tanzania atafutia....Katika Karne hii ya 21 hakuna Rais ambaye atapata kuzikwa na Marais wengi kama huyu Mandela. Ngojeni mtajionea!!