Rais Obama,ameonekana bila pete ya ndoa,imekuwa kasheshe,wakati sie huku Tz President anavaa mipete kibao,mpaka cheni ,au saa mbili.kama Rais aliyepita Mkapa na bila pete ya ndoa.wala inakuwa sio hoja,kwa jinsi tulivyo wadanganyika sie watanganyika,loooh???
Jamani hebu tuchanjie kwa hii.mie sijaelewa imekuwaje kati yake na mkewe Michelle????
Ni kweli , leo nilikuwa naangalia Good Morning America kwenye ABC walionyesha Obama alikuwa anazungumza na Democrats wenzake na niliona Obama alikuwa ana wedding band yake. Hata mimi I was so surprised...
sijakuelewa, umeshangaa married man kuwa na wedding band yake??? huhNi kweli , leo nilikuwa naangalia Good Morning America kwenye ABC walionyesha Obama alikuwa anazungumza na Democrats wenzake na niliona Obama alikuwa ana wedding band yake. Hata mimi I was so surprised...
sijakuelewa, umeshangaa married man kuwa na wedding band yake??? huh
Obama akivaa pete ya ndoa au asipoivaa nadhani kwetu sisi watu wa Tanzania sio issue.
Kadhalika pete za Rais mstaafu Mkapa hazihusiani na maendeleo ya taifa. Labda mimi ni mzito - sioni hoja hapa.