prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
nani kasema hivyo.......?
Ni maneno ya wabunge vilaza na omba omba wa ccm-magamba wakihadaa watz kuwa rais obama atakuja na zawadi, hivi watz ni wajinga kiasi gani kutegemea zawadi kwa wazungu?taifa tegemezi haiwezi kuwasaidia wananchi wake tuikatae ccm kwa upuuzi huu!
hahaha aisee imentia hasira kweli kweli
mbunge kilaza wa ccm mh.charles mwijage wa muleba kaskazini, shame on him
tunazisubiri , ila isije kuwa suti tano !
Ni maneno ya wabunge vilaza na omba omba wa ccm-magamba wakihadaa watz kuwa rais obama atakuja na zawadi, hivi watz ni wajinga kiasi gani kutegemea zawadi kwa wazungu?taifa tegemezi haiwezi kuwasaidia wananchi wake tuikatae ccm kwa upuuzi huu!
ccm is impotent by its system, tokea lini mama akasifia ujio wa baba wa jirani?ina mana mumeo hamtoshelezi huyo mama!
tana cha ajabu ni pale tu,aliposema zawadi wabunge wote wa ccm walishangilia na kupiga makofi, hii ni ajabu ya mwaka.wabunge hawa hawastahili kurudi bungeni, isipokuwa Olesendeka na vile vichwa vitatu vinavyoeleweka kwa kila mtu mwenye kuitakia mema nchi yetuNi maneno ya wabunge vilaza na omba omba wa ccm-magamba wakihadaa watz kuwa rais obama atakuja na zawadi, hivi watz ni wajinga kiasi gani kutegemea zawadi kwa wazungu?taifa tegemezi haiwezi kuwasaidia wananchi wake tuikatae ccm kwa upuuzi huu!