Mtingaji
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,223
- 367
Kwa wale wataalamu wa habari za uchunguzi, mtujuze mapema ili tujue kama tunauzwa tena USA. Je, ni mikataba mingapi na kwenye secta ipi anakuja kuweka? Hii si kawaida ndani ya mizi isiyozidi 6 maraisi wa mataifa makubwa wanapigana vikumbo kuja Tanzania kuweka mikataba.
Ziara ya Raisi mpya wa China nayo ilifanywa siri na serikali ya CCM wakaja kuitangaza dakika za mwisho, mpaka leo hatujui kwa hakika na kwa undani wa mikataba ile mingi iliyowekwa kwa ghafla. Tukajua tumeuzwa!
Sasa Obama na yeye huyo anatia timu hivi karibuni, je atakuja kutalii bure au tunauzwa tena? Wenye nyepesinyepesi mtujuze ili tuanze kudai chetu kabla hakija kimbizwa Uswis!