Obama aitaka NATO kupambana na ISIS

Obama aitaka NATO kupambana na ISIS

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
1,795
Reaction score
1,132
Katika ile hali inayoonekana ni kikundi cha ISIS kupata nguvu na kuteka maeneo mengi ya Syria na Iraq, rais wa Marekani Barack Obama amemtaka katibu mkuu wa NATO kuangalia uwezekano wa kuingia katika vita hivyo.

Source:
BBC
 
Isis=USA na USA=NATO!! what do you expect???
 
Back
Top Bottom