mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Wewe umekariri talking points za Democratic party, sidhani kama umetafakari fizuri haya mambo.
umeshawahi kumsikiliza romney wewe? umeshawahi kumuona akipanua mdomo wake? mskize afu ndo utajua kama ana lolote la maana anaongea
Usiangalie kiasi cha kodi, angalia amound ya pesa aliyo nayo mtu.
Obama ana kipato cha chini kuliko Romney
Kodi aliyolipa Romney ni ya kiwango cha kipato cha kati ambapo alitakiwa kulipa % si chini ya 33, amejitahidi kukwepa kwa kusingizia kwamba amepeleka pesa kusaidia jamii.
umeshawahi kumsikiliza romney wewe? umeshawahi kumuona akipanua mdomo wake? mskize afu ndo utajua kama ana lolote la maana anaongea
Romney ana ubaya gani?