Obama aapa kuangamiza Islamic State

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,111
Reaction score
34,940

Rais Obama ameahidi kuangamiza Wanamgambo wa Islamic State

Rais wa Marekani Barack Obama amesema Marekani itashambulia kundi linalojiitaa Islamic state kote nchini Syria na Iraq ili kuwanyima kabisa makao ya kujificha.


Bw Obama amesema kushiriki kwa mataifa kadhaa ya kiarabu katika mapambano hayo kunaonyesha wazi hivyo si vita vya Marekani pekee bali wao ni sehemu ya muungano wa mataifa yanayopigana na kundi hilo liitwalo pia ISIL.

Pia amekiri kuwa mashambulio hayo yamelenga pia wale aliowataja kuwa wanamgambo sugu wa al Qaeda wa kundi liitwalo Khorasan ambao anasema wanalenga kuishambulia Marekani.

Nazo taarifa za jeshi la Marekani zasema malengo ya mashambulio yaliyofanywa yametimia.

Wapiganaji wa Islamic State wamekuwa wakifanya mauaji na utekaji nyara

Wanamgambo kadhaa wa IS wameripotiwa kuuliwa japo vifo vya raia pia vimeripotiwa.

Mapema msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Alexander Lukashevichy amesema mashambulio yoyote dhidi ya ISIL ni sharti yazingatie sheria za kimataifa.

Kadhalika Obama, amesema kuwa kuhusika kwa nchi za kiarabu katika vita dhidi ya wanamgambo wa Islamic State nchini Syria ni dalili tosha kuwa vita hivi sio vya Marekani pekee.

Obama amesema ataendelea kukusanya jeshi la kimataifa dhidi ya wapiganaji hao.
Saudi Arabia, Milki za kiarabu,Jordan na Bahrain zote zilituma ndege za kijeshiu katika opereshei hiyo.


Chanzo: BBC
 
kwa hapo .usa imetumia ujanja wa kuondoa lawama kuwa ni yenyewe imeshambulia.
Pia hapo,napata shaka kuwa madhara ya vita hiyo itakenga hata raia walio karibu na kundi hilo.
Marekani imeshindwa kupigana vita na isl na ndo sababu ya kuomba uungwaji mkono ktk vita ili ili litakapo kuja swala la uaribifu isiwe marekani bali umoja huo.
 
Hezbollah Secretary General stated that the party is against ISIL and all the takfiri groups, yet he asserted that he (Hezbollah) has also a principled position against the US military intervention.

Sayyed Nasrallah stressed that the US is not morally qualified to lead an anti-terrorism coalition because it is the mother of terrorism as it supports the terrorist entity (the Israeli entity) and it has participated in establishing the terrorist groups in Syria, Iraq and in other countries.

Sayyed Nasrallah considered that this international coalition was created to protect the US interests at the expense of those of the Arabs and their governments, noting that such a coalition is a pretext for a foreign intervention in our region.

Sayyed Nasrallah: Government Must Negotiate Kidnappers from Position of Strength
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…