Nywele zangu zinanyonyoka zinaacha nafasi kchwani

Methyl phenol

Senior Member
Jul 22, 2021
184
272
Kama kichwa inavyo jieleza am only 20 old but nywele zangu zimekuwa zikinisumbua zinatoka na kuacha vigepu kuna wakati nilikuwa natumia brush ngumu sana ya kuchania nywele nikahisi ndo chanzo.

But kuna watu wengine wanaambiwa inasababishwa na upotevu au kupungua kwa protini mwilini (kiafya niko tu normal snaga matatzo yoyote)

Nahitaji msaada je nitumie vitu gani ku recover io protein loss?

Kuna mafuta gani yanaweza nisaidia shida hii. Au solution nyingine yoyote ya tatizo!!?

Kama kichwa inavyo jieleza am only 20 old but nywele zangu zimekuwa zikinisumbua zinatoka na kuacha vigepu kuna wakati nilikuwa natumia brush ngumu sana ya kuchania nywele nikahisi ndo chanzo.

But kuna watu wengine wanaambiwa inasababishwa na upotevu au kupungua kwa protini mwilini (kiafya niko tu normal snaga matatzo yoyote)

Nahitaji msaada je nitumie vitu gani ku recover io protein loss?

Kuna mafuta gani yanaweza nisaidia shida hii. Au solution nyingine yoyote ya tatizo!!??

jaribu mafuta ya mnyonyo mkuu.
 
inaweza kuwa ni maswala ya protini lakini kitu kikubwa kinachosababishaga pia kipara ni upigaji wa punyeto wa muda mrefu kwani huathiri zaidi nywele kunyonyoka na hata ngozi kuwa haieleweki
 
Back
Top Bottom