Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
unaonekana kama mt
Nimecheka kweliunaonekana kama mtu wa jalalani..
Tatizo sio kuuma, unaonekana nywele chafu wakati muda huo umetoka kuziosha...Kwaiyo hakuna njia nyingine mbadala...Zikiwa za brown zinauma?
Kama haziumi na hutaki kutumia super black achana nazo manake hakuna kitu utafanya ziwe nyeusi
Hahaha, ni kweli ukiziacha kidogo bila kuchana inakuwa ni hatari, unakuwa kama chokoraaNimecheka kweli
Tatizo sio kuuma, unaonekana nywele chafu wakati muda huo umetoka kuziosha...Kwaiyo hakuna njia nyingine mbadala...
Ni kuzinyoa zinapofikia level ya kuwa nyekundu.Inawezekana wapo wanaojua,mimi sidhani kama ipo namna nyingine zaidi ya super black
Kazi kwake mleta mada kama atakubaliana na wazo la kunyoaNi kuzinyoa zinapofikia level ya kuwa nyekundu.
Paka mafuta ya Afro AmericanHivi nywele kuwa za rangi ya brown ni ugonjwa au ni nini hiki.
Na huwa mnaondokana vipi na hili tatizo maana usipochana unaonekana kama mtu wa jalalani..
Kupaka superblack ndo kitu sitaki hata kujaribu naombeni ushauri
Kama ana mpango wa kufuga afro awe mtu wa superblack au mafuta fulani hivi ya nywele niliwahi kuelekezwa ila sikutilia maanani sababu mie mwilini mwangu vikorombwezo vikorombwezo huwa sivizingatii. Ajaribu kuyasaka hayo.Kazi kwake mleta mada kama atakubaliana na wazo la kunyoa
Itabidi alale na fuko la nylon kama kipande cha nanasi[emoji1787]Paka mafuta ya Afro American
Ila jiandae kuchafua mashuka
Kwanza picha linaanzia wakati wa kupakaItabidi alale na fuko la nylon kama kipande cha nanasi[emoji1787]
Masharti kama dawa ya kienyeji [emoji1787][emoji23]Kwanza picha linaanzia wakati wa kupaka
Yanachafua mikono aisee
Ila ni mazuri,usiku anaoga kabla hajalala.
Kwani tatzo ni nini, mie pia nywele zangu ni brown. Tena hadi huwa naulizwa kama nimepaka piko.Hivi nywele kuwa za rangi ya brown ni ugonjwa au ni nini hiki.
Na huwa mnaondokana vipi na hili tatizo maana usipochana unaonekana kama mtu wa jalalani..
Kupaka superblack ndo kitu sitaki hata kujaribu naombeni ushauri
Nani anaziona ni chafu?Tatizo sio kuuma, unaonekana nywele chafu wakati muda huo umetoka kuziosha...Kwaiyo hakuna njia nyingine mbadala...