jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
msaada tafadhali nina rafk wakike miez yahv karibun nywele zake zilianza kukatika ghafla yaan ikabd azinyoe hata hivyo kila zikikua zinanyonyoka inabd anyoe tena.awal hakuwah kuwa na tatzo hili yy anahs labda sababu ya bleach aliyopaka na badae akatoa......ameenda hospital ila sijajua alipewa dawa gan mana hazijamsaidia so far.nawasilisha wakuu