Nyumbani ni nyumbani, karibuni Mafia

Nafikaje huko...?
Hivi kuna usafiri wa kutoka hapo kwenda Mayotte?
Ukitaka adventure, tumia usafiri wa boti au mashua lakini kama muoga wa bahari, tumia usafiri wa ndege ambao haupo adventorous at all!!

REMEMBER, boti za kwenda Mafia sio kama zile boti za kishua ziendazo Unguja ambazo you feel just litlle adventure ukitoa tu ile kwamba unasafiri mchana na ku-enjoy ocean view!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…