Nyumbani hamuambiani?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Juzi nilikuwa nawatch habari..kufika habari za michezo na burudani..ikaja habari ya mchakato wa miss kitongoji nanihiii..loh jamani hao visura mmh...mtu anavyojitambulisha tu unamuonea huruma,akitabasamu ndo unatamani umuambie usicheke sana meno yako hayajakaa vizuri..utapenda sasa akiondoka akiwa amejibinua huo mgongo(haswa ukute aliyeacha maungo yake wazi) hivi nyumba zingine mbona huwa mnamponza mwenzenu akashiriki haya mambo kwa kumsifia kumbe mnamchora?yaani kama unaangalia ze comedy
 
wengine huchaguliwa ili wakafurahishe watazamaji
 
Wanawake hawapendi uwaambie ukweli hata siku moja. mi kuna dada ofisini nilikosana naye kwa kumwambia hujapendeza na wakati aliniuliza mwenyewe kama amependeza au hajapendeza na kweli alikuwa hajapendeza kabisa.
 
Ndo burudani zenyewe hizo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Haya mkuu hao ndio pensheni ya lundenga na remtulah.
 
Hizo sasa ni kashfa ambazo zina lengo la kumtoa dosari Mungu aliyetuumba, hao unaowaona wabaya nao pia wameumbwa na huyohuyo aliyekuumba wewe mzuri, tambua kwamba mbaya kwako mzuri kwangu so acha kashfa bwana mdogo!
 
Wanawake hawapendi uwaambie ukweli hata siku moja. mi kuna dada ofisini nilikosana naye kwa kumwambia hujapendeza na wakati aliniuliza mwenyewe kama amependeza au hajapendeza na kweli alikuwa hajapendeza kabisa.

hapo ndo tatizo... na tatizo la kioo hakimkatai mtu kila mtu akijitazama anasmile
 
Hizo sasa ni kashfa ambazo zina lengo la kumtoa dosari Mungu aliyetuumba, hao unaowaona wabaya nao pia wameumbwa na huyohuyo aliyekuumba wewe mzuri, tambua kwamba mbaya kwako mzuri kwangu so acha kashfa bwana mdogo![/color}

are u sure nimeongea kwa lugha ya kukashifu?sorry
 
Hizo sasa ni kashfa ambazo zina lengo la kumtoa dosari Mungu aliyetuumba, hao unaowaona wabaya nao pia wameumbwa na huyohuyo aliyekuumba wewe mzuri, tambua kwamba mbaya kwako mzuri kwangu so acha kashfa bwana mdogo!

mmh kimenukaa:shock:
 
eti kuna shindano lingine la kufuta kigoli....
 
Hizo sasa ni kashfa ambazo zina lengo la kumtoa dosari Mungu aliyetuumba, hao unaowaona wabaya nao pia wameumbwa na huyohuyo aliyekuumba wewe mzuri, tambua kwamba mbaya kwako mzuri kwangu so acha kashfa bwana mdogo!
Mwenye kubeba lawama ni Yule mwenye kuzishindanisha Sura
 
Nani hasa mwenye mamlaka ya kutoa mwenzako kasoro?hujafa haujaumbika nashindano yamewapendelea wembamba wanene ,wafupi wamebaguliwa eti si wazuri ! hii ni haki?wengi wanajikondesha makaksudi kama vp urembo ufutwe binadamu wote ni sawa
 
Bora na wewe umejionea, mwanamke akisema mwanamke mwenzie hajapendeza oooh wivu!!!!!
oooh hampendani acha akachekeshe tu ukumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…