Kuna nyumba za kutosha zinauzwa maeneo ya mikocheni, kwa bei tofauti kutokana na ubora wa nyumba, na nyingine zinauzwa maeneo tofauti kama unataka kununua lakin hujuwi pa kuzipata na unataka kuziona
Wasiliana nami kwa simu
0716 85 06 95
Ili nikuwezeshe kuziona na ukizikubali ununue
Information is power
Dalali magumashi utamjua tu. Hauko direct kutaja kilichopo... Mfano aina ya nyumba, ukubwa, idadi ya vyumba, ukubwa wa uwanja, upatikanaj wa mahitaj ya lazima kama barabara, maji, umeme, bei ya nyumba + picha. Ipende kaz yako.