Joshua kachala
Member
- Jan 11, 2021
- 22
- 6
Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
Semi finishedHiyo ni semi finished house au ndio imesha kamilika hapo?
Ndio ni apartmentApartment?!
Unajua maana ya apartment au unajiongelea tu?Ndio ni apartment
KaribuImewaka
Bar mbililocation vipi ?
Maana kuna mafuriko mitaa hiyo
Sikupiga picha za ndaniPicha za ndani mbona hamna??
Pazuri Boss tatizo mawe tu sina.Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
View attachment 1676203View attachment 1676204