Nyumba zinauzwa Chamanzi

Nyumba zinauzwa Chamanzi

Hiyo mitaa + Hizo Rangi = Jenga Uza,

Hivi ni kwanini mitaa hiyo wasingekua wanapaka tu rangi za kawaida? Yaani nini kinawafurahisha kwenye hizo Rangi wanazopakaga?
Piga simu uulize hilo swali nitakujibu vizuri
 
Naomba nipate mawasiliano ya huyo aliyesimama getini nje, naamini huyo atakuwa anaifahamu vizuri hiyo nyumba!
Kama ni mkazi wa humo ndani itapendeza zaidi...huyo ndio naweza kufanya nae biashara!
Nipigie simu nikupe hizo namba za huyo mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom