St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
Nyumba zipo Kinyerezi kwa makofia umbali wa mita 200 toka barabara ya lami. Zipo ndani ya uzio mmoja na kila nyumba ina sebule na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master bedroom na kuna public toilet na jiko kubwa. Umeme na maji ni vya uhakika. Usalama was kutosha. Bei ni Tshs 500,000/- kwa mwezi na malipo yalipwe kwa mwaka mmoja. Wasiliana na 0657 279 920.