Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,508
- 13,976
Habari zenu?
Kuna nyumba mbili za kisasa zinapangishwa.
NYUMBA YA KWANZA:
Ina sebule moja kubwa
Dining area
Jiko kubwa
Vyumba vitatu vya kulala vyote ni self contained rooms(master bedroom ni kubwa sana unaweza kufanya two rooms in one)
Vyumba vyote vina makabati ya ukutani chumbani na bafuni
Ina public toilet
Ina study room
Ina eneo kubwa la parking ya magari zaidi ya manne.
Ina garden
Ina umeme na maji (inajitegemea kila kitu)
Nyumba ni full tiles sakafu na paa lake
Nyumba ipo sehemu tulivu na ina geti lake
Nyumba ni mpya kabisa haijawahi kutumika.
MAHALI ILIPO:
Mita mia tisa toka Mianzini traffic lights
BEI NI 550$
MALIPO NI KUANZIA MIAZI MINNE.
MAWASILIANO: 0787140432 AU PM
NYUMBA YA PILI:
Ina vyumba vinne vya kulala,2 ni self contained rooms
Ina makabati ya nguo vyumba vyote
Ina sebule kubwa
Ina jiko
Ina dinning area
Ina public toliet/bathroom
Ina car parking (nyumba iliyojengewa yenye uwezo wa kulaza gari 2 kwa wakati) ila nje unaweza laza gari hata nne.
Ina garden
Nyumba nzima ni full tiles za sakafu na za paa,pia kuna gypsum
Ina umeme na maji yake yenyewe
Ina matanki ya kuchemshia maji ya moto bafuni.
Nyumba iko sehemu tulivu na ina geti lake
Nyumba imesha wahi kutumika ila ina hali nzuri sana.
MAHALI ILIPO:
Mianzini,mita 800 toka Mianzini traffic lights
BEI:450$ KWA MWEZI,MALIPO NI KUANZIA MIEZI MINNE.
PM