akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
Nyumba tulizonazo kwa Sasa
Kwa Sasa tuna
1.Maeneo ya kijitonyama/Makumbusho
-----------------------------------
Chumba master na sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni 250,000 kwa mwezi kwa miez I 12.
Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 2.5 kwa mwezi kwa miezi 12.
2.Maeneo ya Sinza
-----------------------------------
Nyumba Mzima master,na vyumba 2,jiko,choo,car parking ,ina umeme na maji bei Laki 3.5 kwa mwezi kwa miez 12.
Chumba master na sebule jiko,choo,hamna parking.maji na umeme upo.bei Ni 250,000 kwa mwezi kwa miezi 12.
3.Maeneo ya Msasani
----------------------------------
Chumba master na na chumba 2 sebule jiko,choo,car parking mna share.maji na umeme upo.bei Ni Tsh 450,000 kwa mwezi kwa miez 12.
Nasehemu zingine kwa mwenye huitaji tuwasiliane kwa namba
0713 912577 Au Ni pm