A)
- Nyumba ipo kiwalani bombom kijiwesamli
- Inavyumba 3 mmoja wapo master
- Inachoo cha ndani kimoja
- sebule, jiko
- inauwanja mkubwa wakupumzikia pamoja na choo cha njee
- Gharama yake ni 350000 (Tsh)kwa mwezi
- Nyumba ipo mbezi Beach karibu na shule ya msingi ya mbezi beach
- Inavyumba 4 mmoja wapo ni master
- Inachoo na bafu kimoja kwa ndani
- Sebule,jiko,dining room,store
- Gharama yake ni 600000 (Tsh) kwa mwezi