Nyumba za Magamba

Mawazo makubwa uwezo mdogo. Ana ndoto ila kuzitimiza ndani ya mfumo huu ni kazi kweli kweli.
 
Mkuu sijakuelewa, ni nyumba za Magamba ikile kijiji cha kule Lushoto au Magamba hii tuijuayo sasa(CCM)?
 
Ndoto za waTz wengi, lkn hawawezi kuzipata kwani Magamba wanazuia kila opportunity ya kufikia ndoto hizo.
 
wazo lake zuri sana tatizo uwezo!
WARNING: Mvua +upepo ni hatari kwa nyumba hiyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…