Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Ehe mwenzetu inawezekana nikweli au kinyume chake hivi vitu havina ushahidi wa kuonekana wala kushikika,mwenzetu umeyajuaje haya tujuze na sisi kwa matumizi ya baadae.Jambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa njia rahisi zaidi.
Zipo nyingine mtu akilala tu haamki anapitiliza kwenye mauti jumla, zingine ukilala, nyota yako inaibwa na kutumiwa na mmiliki, Kama ulikuwa na pesa au hata mafanikio unashangaa mara umeanza kuanguka kimaisha.
Haya yote yanafanyika ktk ulimwengu wa roho ambao huwezi kuuona Kwa macho ya kawaida.
Kitanda, godoro na yale mashuka yanakuwa na maagano maalumu yamewekewa, ndo maana unaweza kukuta mwanaume au mwanamke anayesafiri mara nyingi Sana anabadilika tabia yake ghafla.
Pengine alikuwa mstaarabu akiiheshimu ndoa yake vizuri Sana mara anageuka na kuwa malaya wa kutupwa.
Si yeye, ni zile roho za mapepo zinakuwa zimemvaa Kwa malengo maalumu ya kuzimu ili watu wafanikiwe ya kwao.
Unaweza kumwona mlevi, kumbe kulewa kwake kunamtajirisha mtu flani.
Hata ma Hotel pia ni hatari Sana, ni maagano yale yale ya Guest House, jaribu kuchunguza tabia za watu wengi, walibadilika wakati gani? jibu utalipata kuwa ni baada ya kusafiri safiri Sana.
Hata hizi Nyumba za kawaida si nzuri pia, usipende kununua nyumba, jenga ya kwako, huwa mara nyingi watu wananunua nyumba ambazo tayari zina maagano ya kuzimu yaliyowekwa na wamiliki wa awali.
Tuweni makini Sana, tunaishi ktk dunia ngumu Sana.
Kama unaishi kwa imani na kumtumainia Mungu, hakuna kitakachokusumbuaJambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa njia rahisi zaidi.
Zipo nyingine mtu akilala tu haamki anapitiliza kwenye mauti jumla, zingine ukilala, nyota yako inaibwa na kutumiwa na mmiliki, Kama ulikuwa na pesa au hata mafanikio unashangaa mara umeanza kuanguka kimaisha.
Haya yote yanafanyika ktk ulimwengu wa roho ambao huwezi kuuona Kwa macho ya kawaida.
Kitanda, godoro na yale mashuka yanakuwa na maagano maalumu yamewekewa, ndo maana unaweza kukuta mwanaume au mwanamke anayesafiri mara nyingi Sana anabadilika tabia yake ghafla.
Pengine alikuwa mstaarabu akiiheshimu ndoa yake vizuri Sana mara anageuka na kuwa malaya wa kutupwa.
Si yeye, ni zile roho za mapepo zinakuwa zimemvaa Kwa malengo maalumu ya kuzimu ili watu wafanikiwe ya kwao.
Unaweza kumwona mlevi, kumbe kulewa kwake kunamtajirisha mtu flani.
Hata ma Hotel pia ni hatari Sana, ni maagano yale yale ya Guest House, jaribu kuchunguza tabia za watu wengi, walibadilika wakati gani? jibu utalipata kuwa ni baada ya kusafiri safiri Sana.
Hata hizi Nyumba za kawaida si nzuri pia, usipende kununua nyumba, jenga ya kwako, huwa mara nyingi watu wananunua nyumba ambazo tayari zina maagano ya kuzimu yaliyowekwa na wamiliki wa awali.
Tuweni makini Sana, tunaishi ktk dunia ngumu Sana.
Uwiiieee yeuwiiii, kila simu Ni uchawi uchawi uchawi uchawi tutafika jamaniJambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa njia rahisi zaidi.
Zipo nyingine mtu akilala tu haamki anapitiliza kwenye mauti jumla, zingine ukilala, nyota yako inaibwa na kutumiwa na mmiliki, Kama ulikuwa na pesa au hata mafanikio unashangaa mara umeanza kuanguka kimaisha.
Haya yote yanafanyika ktk ulimwengu wa roho ambao huwezi kuuona Kwa macho ya kawaida.
Kitanda, godoro na yale mashuka yanakuwa na maagano maalumu yamewekewa, ndo maana unaweza kukuta mwanaume au mwanamke anayesafiri mara nyingi Sana anabadilika tabia yake ghafla.
Pengine alikuwa mstaarabu akiiheshimu ndoa yake vizuri Sana mara anageuka na kuwa malaya wa kutupwa.
Si yeye, ni zile roho za mapepo zinakuwa zimemvaa Kwa malengo maalumu ya kuzimu ili watu wafanikiwe ya kwao.
Unaweza kumwona mlevi, kumbe kulewa kwake kunamtajirisha mtu flani.
Hata ma Hotel pia ni hatari Sana, ni maagano yale yale ya Guest House, jaribu kuchunguza tabia za watu wengi, walibadilika wakati gani? jibu utalipata kuwa ni baada ya kusafiri safiri Sana.
Hata hizi Nyumba za kawaida si nzuri pia, usipende kununua nyumba, jenga ya kwako, huwa mara nyingi watu wananunua nyumba ambazo tayari zina maagano ya kuzimu yaliyowekwa na wamiliki wa awali.
Tuweni makini Sana, tunaishi ktk dunia ngumu Sana.
Umeuliza swali zuri mkuu. Thread zingine kama hizi ni za kuchanganya watu tu na kuwaongezea ugumu wa maisha kutokana na hofu hasa kwa wale wanaojikuta wakiamini mambo kama hayo. Na mwisho wa siku kujikuta wakiwa washiriki wazuri kivitendo katika imani hizo zisizo na tija yoyote.Basi hata mabasi na daladala tusipande kwani vina maagano pia,mshike saana munguwako ndugu vitu vingine haviepukiki,unadhani tukisafiri tulale wapi labda??au tulale nje??
Haya mafundisho mengine mnayoyatoa kupitia mgongo wa "ULIMWENGU WA ROHO" mnachanganya tu watu. Hayana tija.Jambo hili wengi wetu hatulijui, nyumba nyingi Sana za kulala wageni maarufu Kama Guest House si salama, nyingi zimezingirwa na kuwekewa maagano ya nguvu za giza ili wamiliki wajipatie pesa Kwa njia rahisi zaidi.