shoomyabrah
Member
- Aug 14, 2014
- 5
- 5
Ingia website ya NHCKuna mtu anajua jinsi ya kuomba makazi nyumba za kota magomen
Ingia website ya NHC
Wengi wao ni njaa tupu..muda si mrefu watawaachia/wapangisha wenye hela wao warudi chalinze kulima mihogo.Usijaribu
Pale bila mjeledi. Patakua uswazi pundeWengi wao ni njaa tupu..muda si mrefu watawaachia/wapangisha wenye hela wao warudi chalinze kulima mihogo.
#MaendeleoHayanaChama
Wale hawatak kutoa hata pesa ya uchafuZile watakaa waliokuwa wakazi wa hapo kabla hapajavinjwa... Ila unaweza ongea na hao wakazi ukawapa hela ya mwezi wao wanahama..