Style hii ni almaarufu kwa jina la ''JENGA UZA'' unapigwa unaona. Jamaa anakwambia kuna mtun alichukua mkopo mahali kashindwa kulipa sasa kaona auze mwenyewe kabla wakopeshaji hawajaja kuiuza.Au mwenyewe kapata uhamisho wa ghafla, kaamua kuiza. Ni rahisi kuamini kwa vile unaona ni semi finished house...kumbe hiyo yote ni gia tu uingie ''kingi''