Nyumba yenye vyumba viwili inahitajika!!

Nyumba yenye vyumba viwili inahitajika!!

Nyumba yenye vyumba viawili kimoja master ba sebule na jiko iwe na uzio..maeneo ya majimatitu mpaka chamazi inshitajika .....offer yangu 15oooo/=
 
VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTA NA SEBULE PAMOJA NAJIKO MAENEO KIJICHI KIVUKONI,TEMEKE MWISHO BEI 150,000 NA PARKING IWEPO SIMU 0712690760
 
nahitaji vyumba 2 na sebule maeneo ya ubungo, shekilango, bajeti 150,000 miezi 3 pls nipm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom