Nyumba Yenye Geti Inauzwa

Hilo geti limenikumbusha miwani ya marehemu babu yangu. Ilikuwa na fremu yenye lenzi tu bila vishikizo vya masikio. Anyway ni bei gani?
 
Hilo geti limenikumbusha miwani ya marehemu babu yangu. Ilikuwa na fremu yenye lenzi tu bila vishikizo vya masikio. Anyway ni bei gani?
bei maelewano, lakino shrti ujenge ukuta kwanza ndio tuelewane
 
Wakati wa kuingia unapiga honi kwa fujo watoto waje kukufungulia geti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…