Nyumba safi iliopo Ukonga Moshi Bar yenye vyumba 4, moja master room, sebule, jiko, daining room na nje kuna fensi ambapo kuna nyumba nyingine ndogo ina vyumba 3 na kila chumba na sebule yake na pia ina fremu za biashara 3 na tena ipo barabarani na ina umeme. Kwa mawasiliano piga 0788883962.