Nyumba yapangishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba yapangishwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Apr 14, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145


  Ipo Kimara Mavurunza mita chache kutoka ''Morogoro road''. Ina vyumba vinne vya kulala(kimoja master bedroom, self contained). Ina sebure kubwa yenye ukubwa wa sqm 40, jiko lenye ukubwa wa sqm 15, na store yenye ukubwa wa sqm 6. Sakafu ya nyumba yote imewekwa tiles. Ina uzio. Ina bustani iliyosheheni miti. Maji yapo. Kodi shs 350,000/- kwa mwezi.

  Kwa maawsilianao ya haraka piga simu na 0784225000/0717114409/0755312233 au tuma ujumbe katika email ifuatayo :kitomai.1stchoice@gmail.com
   

  Attached Files:

Loading...