Viva Villa, Juliana, Nyambizi, Ozone zote ukifika Africana Ukiulizia Unapelekwa then Utaulizia hapo hapo bei i hope zipo friend tu.🙂Heshima yenu wakuu.
Ninategemea kuwa na ugeni siku chache zijazo, kwa mazingira ya Dar wageni wangu wamependelea kupumzika maeneo ya mbezi beach.
Sasa wakuu najua JF halishindikani jambo, naomba mnifahamishe nyumba nzuri za wageni zinazopatikana maeneo ya Mbezi pamoja na bei zake itakuwa njema zaidi.
Natanguliza shukrani.
Tehe tehe ...ya michepuko hiyo. Mbezi beach kuzuri. Kama za beach kabisa atatoboka sana mfuko. Kuna Kibona na Havana zipo Africana. Ziko poa tu.Kuna Villas flani njia ya africana kabla hujafika kwenye zile humps (bumps). ila sijui bei maana nilienda long time sana am sure imepanda.
Mkuu nisaidie, nahitaji za kawaida kabisa, zisizidi elfu 15 kwa siku. Achana na hizo executives!!Tehe tehe ...ya michepuko hiyo. Mbezi beach kuzuri. Kama za beach kabisa atatoboka sana mfuko. Kuna Kibona na Havana zipo Africana. Ziko poa tu.
ozone Africana, Ina Bar, Club, Lounge Na Lodge, Lodge Ni 40,000! Pako poa kila kitu Ni hapo hapo.Una 15,000 halafu unataka lodge Mbezi Beach? Acha kutusumbua hapa
Shinovo na Viva Villa.... Ingawa kwa utulivu zaidi, usafi, uzuri zaidi ni Shinovo.... Bei ni from 60~80Heshima yenu wakuu.
Ninategemea kuwa na ugeni siku chache zijazo, kwa mazingira ya Dar wageni wangu wamependelea kupumzika maeneo ya mbezi beach.
Sasa wakuu najua JF halishindikani jambo, naomba mnifahamishe nyumba nzuri za wageni zinazopatikana maeneo ya Mbezi pamoja na bei zake itakuwa njema zaidi.
Natanguliza shukrani.
Kuna za 30 Viva mkuu au hii 50 ya mwaka mpya ?? Viva yenyewe ilikua mbioni kufungwa sijui imeishia wapiShinovo na Viva Villa.... Ingawa kwa utulivu zaidi, usafi, uzuri zaidi ni Shinovo.... Bei ni from 60~80
Viva Villa ni 50
Si umesema mwenyewe unataka ya 15000.Acha dharau wewe..
Acha dharau wewe..
Si umesema mwenyewe unataka ya 15000.
Mkuu mbona walishapandisha longtime....Kuna za 30 Viva mkuu au hii 50 ya mwaka mpya ?? Viva yenyewe ilikua mbioni kufungwa sijui imeishia wapi
Wanaofahamu wako wapi? Unataka lodge nzuri Mbezi Beach kwa 15000? Nenda Kwa Mfugwa Mbwa.Wanaofahamu watanijuza, acha kunipotezea muda, pia kiherehere punguza
Wakati huo ikiwa na rooms za 30 walikua wanataka kupafunga ,wamepandisha kuna nini kimeongezeka mkuu ?? Tofauti na Ac,tv,na hizo sofa zao red sijui brown ?Mkuu mbona walishapandisha longtime....