location?
Mbona bei rahisi sana au ina tatizo kama la mauza uza.
Ubungo Kibangu amesema
Ubungo Kibangu amesema
Hee isijekua ukilala unatolewa nje usiku hahaha
Mbona bei rahisi sana au ina tatizo kama la mauza uza.
Umenikumbusha Movie ya Late kanumba akiwa na nargis mohamed inaitwa "Magic House"
Ndetirima Unanishangaza eti Bei rahisi ulitaka aseme Dolla 700 ama,MM naishi Mbezi Beach nalipa laki Mbili Self Container vyumba Vitatu Parking kila kitu,tatizo lenu watanzania mnajiona mna Hela hata hiyo laki mbili na nusu ni gharama sana kwani mishahara mingi ni ya kawaida,Acheni hizo wanaumia wapangaji kama mna hela zenu Bwana.
Mbona bei rahisi sana au ina tatizo kama la mauza uza.
wakuu, mimi sio muingiaji sana wa jamii forum na ndio maana mnaona nachelewa ku respond na ndio maana nimeweka namba yangu ya simu hapo juu. kwa iyo kwa maelezo zaidi na jinsi ya kufika mnipigie muda wowote maana na mimi nakaa mitaa hiyo hiyo ingawa si kwenye hiyo nyumba na nyumba haina mgogoro wala mauzauza yoyote. Kama kuna baadhi ya wakuu wanaona hiyo bei ndogo, piteni tu kimya kimya na mtafute hizo nyumba za dola 500 na kuendelea na sio kuuchafua huu uzi. Natanguliza shukran na karibuni
Bei Gani? Mbona Sijaona Bei?