Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa mbezi

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa mbezi

mwipande

Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
57
Reaction score
13
Ipo mbezi kwa msuguli karibu na shule ya st Ann Marie.Ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo master,dining,sittingroom,public toilet,jiko.Kodi 200000 kwa mwezi,k odi y miez 6.Piga 0717373037
 

Attachments

  • 1410231773074.jpg
    1410231773074.jpg
    38.5 KB · Views: 300
Iko umbali gani toka barabara ya morogoro
 
kama ipo karibia na shule ya st anne marie haiwezi kuwa km 15.5 kutoka morogoro road kwa sababu ni approx 2 Kms!subiria jibu la mwenyenyumba ila huo ndo ukweli.
 
nyumba nzuri du sema tu foleni ya kuja huko mbezi....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom