Nyumba ya UKAWA imeshabomoka bado kidogo CHADEMA

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
CHADEMA niliwaambia sasa yameatokea mlifanya kosa kumchagua Archtect mgonjwa,anatetemeka,akitembea kama roboti, hawezi geuka nyuma ghafla wa kushoto wala kulia,macho yake yamepoteza uwezo wa ku blink,akikutazama ni kama unatazamana na sanamu ya kuchora,hana kumbukumbu.

Mmechagua mjenzi ambae hawezi kujenga nyumba yenu (CHADEMA)anaibomoa na mtagombana kugawana bati na mbao, nawatakieni kila la kheri na mjenzi mkuu wenu (Lowassa).
 
Mbona wa kwenu tulimvumilia alivyoenda kuondolewa teeez...... zagambaa
 
Back
Top Bottom